CHAMA CHA USHIRIKA WA AKIBA NA MIKOPO TANESCO FOMU YA MIKOPO WA UJASILIAMALI (MU 01) A: MAELEZO BINAFSI i.jina kamili la mkopaji... ii. iii. Aina ya kitambulisho Namba ya kitambulisho. Jinsia: MKE/MUME...Umri miaka... iv. Hali ya ndoa: nimeoa ( ) nimeolewa ( ) sijaoa/sijaolewa ( ) mtalaka ( ) mjane/mgane ( ) v. Elimu: sijasoma ( ) msingi ( ) sekondari ( ) elimu ya juu ( ) vi. vii. viii. ix. Anuani ya Posta.. Nambari ya simu Mahali unapoishi: Wilaya... Kata. Mtaa Na. Nyumba.. Jina la Mume/Mke Mahali pa kazi/biashara.. Namba ya simu: Iwapo hamuishi pamoja, eleza mahali anapoishi... Idadi ya watu wanaokutegemea.. Jina la ndugu wa karibu Uhusiano.Umri(miaka 18 au zaidi) Mahali anapoishi/kazi... namba ya simu... 1 Kiasi Tshs <10m, Riba 16.5%pa (reducing balance), Fomu Tshs 10,000, Ada ya mkopo 1%, Bima 1%
B: MAELEZO YA BIASHARA Aina za Biashara: i. Mahali ilipo Mwaka iliyoanzishwa.. ii. Mahali ilipo...mwaka iliyoanzishwa.... iii... Mahali ilipo Mwaka iliyoanzishwa... Jina la anayekusaidia kwenye biashara... Uhusiano... Namba ya simu... Mtaji wa biashara(tshs) Mauzo kwa Mwezi(Tshs)... Taja aina nyingine za kipato....kipato kwa mwezi(tshs)... C.MAELEZO YA MKOPO Kiasi kinachoombwa: Tshs Kwa Maneno Shilingi......... Madhumuni ya Mkopo: i)... ii)... iii)... Muda wa Marejesho: Miezi Kiasi utakachoweza kulipa kwa mwezi Tshs. D: UHUSIANO NA BENKI/TAASISI ZA FEDHA Je,una akaunti na benki au Taasisi nyingine ya fedha? NDIYO ( ) HAPANA ( ) 2 Kiasi Tshs <10m, Riba 16.5%pa (reducing balance), Fomu Tshs 10,000, Ada ya mkopo 1%, Bima 1%
Kama ndiyo orodhesha. 1. jinala Benki au Taasisi ya fedha A/C 2. Jina la Benki au Taasisi ya fedha.a/c.. 3. Jina la Benki au Taasisi ya fedha..a/c.. Ulishawahi kukopa au una mkopo katika Benki/Taasisi yoyote ya Fedha? NDIYO( ) HAPANA ( ) Orodhesha mikopo yote na majina ya wakopeshaji TAASISI/BENKI KIASI ULICHOKOPA MWAKA ULIOKOPA MUDA WA MKOPO MAKATO KWA KIASI KILICHOBAKIA E.UDHAMINI WA MKOPO 1. UDHAMINI WA MKOPAJI a) Dhamana ya mkopo huu ni i. Akaunti ya Siku kuu (Festival) Tshss... ii. Akaunti ya Elimu Tshs... iii. Akaunti ya Afya Tshs... iv. Akaunti ya watoto (Kido) Tshs... v. Amana ya muda maalum (FDR) Tshs... vi. Mali: Shamba/Kiwanja/Nyumba/Gari/Pikipiki Thamani ya Tshs. vii. Dhamana nyinginezo... b) Tamko la Mwenza la kuridhia mali kuwekwa Rehani: Mimi.wa anuani Ni MUME/MKE wa mwenye dhamana, nathibitisha mali iliyo/zilizo tajwa hapo juu nazifahamu na niko tayari zitolewe kama dhamana kwa mujibu wa masharti na taratibu zilizokubaliwa na mkopaji na mkopeshaji. JINA LA MTOA TAMKO.. UHUSIANO.. (picha) 3 Kiasi Tshs <10m, Riba 16.5%pa (reducing balance), Fomu Tshs 10,000, Ada ya mkopo 1%, Bima 1%
Saini Tarehe. Simu TANBIHI: KAMA MWENYE DHAMANA HAJAOA AU KUOLEWA ATALAZIMIKA KULETA HATI YA KIAPO ILI KUTHIBITISHA HILO (Fomu namba MMU 010.) F. TAMKO LA MKOPAJI Mimi..mwombaji wa mkopo,nathibitisha kuwa taarifa zote zilizotolewa hapo juu kwa Chama ni sahihi na kweli na kwamba nitawajibika kwa usahihi wa taarifa hii kupitia saini yangu hapo chini. Aidha, natoa idhini kwa Chama kutafuata taarifa yangu kutoka kwa mtu yeyote(majirani, marafiki, washirika wa biashara, chama, taasisi za fedha, au ofisi ya rejea ya mikopo iliyo idhinishwa kisheria wakati ambapo Chama kinatathimini wakati wote wa kuwepo akaunti yangu katika Chama na ninaruhusu Chama kunichukulia hatua za kisheria na nitalipa gharama zote za uandaji wa mkopo huu endapo itagundulika taarifa nilizozitoa sio sahihi na kweli. Saini Tarehe. Jina la Afisa Mkopo...Saini..Tarehe.... Jina la Meneja wa Chama... Saini Tarehe..... G. MAENDELEO YA BIASHARA (kwa matumizi ya ofisi tu) MTAJI WA BIASHARA BIASHARA Fedha tasilimu.... Fedha iliyo benki.. Bidhaa zilizopo... MADENI YA Madeni ya muda mfupi.. Madeni ya muda mrefu.. Changio la mtaji... Wadeni. JUMLA.. Mali zilizohamishika. JUMLA. 4 Kiasi Tshs <10m, Riba 16.5%pa (reducing balance), Fomu Tshs 10,000, Ada ya mkopo 1%, Bima 1%
MATUMIZI YA BIASHARA (Mwezi mmoja) MAUZO YA BIASHARA (Miezi 3 iliyopita) Bidhaa AINA YA MAUZO WA KWANZA WA PILI WA TATU Usafiri Kodi ya pango Kodi/ushuru/leseni Mishahara Mengineyo JUMLA JUMLA WASTANI WA MAUZO KWA..FAIDA (MAUZO-MATUMIZI)... Aina ya mauzo Bidhaa zinazouzika kwa haraka idadi Thamani Bidhaa zinazouzika kwa wastani Idadi Thamani 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 JUMLA Msimu wa Biashara (weka alama ya V katika mwezi husika) JUU CHINI JAN FEB MAR APR MAY JUN JUL AUG SEP OCT NOV DEC 5 Kiasi Tshs <10m, Riba 16.5%pa (reducing balance), Fomu Tshs 10,000, Ada ya mkopo 1%, Bima 1%
H: MAPENDEKEZO YA MKOPO (Kwa matumizi ya ofisi) 1) MAONI YA AFISA MIKOPO Tarehe ya kupokea maombi..tarehe ya kutembelea biashara husika..dhamana. Mambo ya Kuzingatia: TABIA... UWEZO WA BIASHARA. DHAMANA.. MTAJI.. HALI HALISI.. Kiasi kinachoombwa Tshs..Kiasi kilichopendekezwa Tshs Muda wa Marejesho: Miezi Riba Tshs.. Rejesho kwa mwezi Tshs Muda wa kusubiri kabla kulipa miezi Mapendekezo ya Afisa Mikopo.. Jina la Afisa Mikopo Sahihi..Tarehe 2) MAONI YA KAMATI: UMEKUBALIWA ( ) UMEKATALIWA ( ) UMEHAIRISHWA ( ) Kama mkopo umekubaliwa jaza yafuatayo: Kiasi kilichopitishwa/kilichoshauriwa Tshs.. Muda wa Mkopo ni miezi..riba.. Muda wa marejesho kila mwezi kiasi Tshs.. Muda wa kusubiri kabla ya kulipa miezi Majina na saini za wanakamati: i. Jina... Saini... ii. Jina... Saini... iii. Jina... Saini... iv. Jina... Saini... v. Jina... Saini... 6 Kiasi Tshs <10m, Riba 16.5%pa (reducing balance), Fomu Tshs 10,000, Ada ya mkopo 1%, Bima 1%